WATAFITI
ALICE MUGOLI NALUNVA
Msaidizi wa utafiti katika Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
AN ANSOMS
Profesa huko Chuo kikuu cha kikatoliki cha Louvain na mtafiti wa kikundi cha utafiti kinchoitwa Juwa Research Group.
ANUARITE BASHIZI
Mtafiti mwenye shahada ya uzamifu, huko Chuo kikuu cha kikatoliki cha Louvain na mtafiti wa kikundi cha utafiti Juwa Research Group na katika kituo cha utafiti CEGEMI cha Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Bukavu.
AYMAR NYENYEZI BISOKA
Mtafiti mwenye shahada ya uzamifu, huko Chuo Kikuu cha Ghent na profesa katika Chuo Kikuu cha Mons.
BIENVENU MUKUNGILWA WAKUSOMBA
Msaidizi wa utafiti katika CERUKI (ISP-Bukavu) na mtafiti wa Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
BOSCO MUCHUKIWA
Profesa na mkurugenzi mkuu wa Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu).
CHRISTIAN CHIZA KASHURHA
Msaidizi wa kufundisha huko idara ya historia ya ISP-Idjwi, na mtafiti katika Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
CHRISTOPH VOGEL
Mtafiti anayeshirikiana na Chuo Kikuu cha Ghent na kikundi cha utafiti kinachoitwa Congo Research Group.
DIEUDONNE BAHATI SHAMAMBA
Mtafiti anayesoma shahada ya uzamifu huko Chuo Kikuu cha Liège (Gembloux Agro-Bio Tech) na mtafiti wa Land Rush Project.
ELISÉE CIRHUZA
Mtafiti na msimimazi wa mipango katika Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
EMERY MUDINGA
Profesa mshirika huko Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu), mratibu wa masomo wa Land Rush Project, mkurugenzi wa Taasisi ya Angaza, na mtafiti wa Juwa Research Group.
ERIC BATUMIKE BANYANGA
Mtafiti wa Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
ESPOIR BISIMIWA BULANGALIRE
Msaidizi katika Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu), na mtafiti wa Land Rush Project.
ESTHER KADETWA KAYANGA
Msaidizi wa kufundisha katika Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu), na mtafiti wa Land Rush Project.
FRANCINE MUDUNGA
Msaidizi wa utafiti katika Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
FRANÇOIS-MERLAN ZALUKE BANYWESIZE
Mhadhiri huko Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu) na mtafiti wa Taasisi ya Angaza.
GODEFROID MUZALIA
Profesa katika Institut supérieur de pédagogie (ISP, au Taasisi ya Ualimu) huko Bukavu na mkurugenzi wa Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
IRÈNE BAHATI
Msaidizi wa kufundisha katika idara ya Mafunzo ya Biashara na Utawala huko ISP-Bukavu na mtafiti wa Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
ISAAC BUBALA WILONDJA
Mhadhiri huko Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu) na mtafiti wa Taasisi ya Angaza.
JÉRÉMIE MAPATANO
Mtafiti katika Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
JOËL BARAKA AKILIMALI
Mtafiti anayesoma shahada ya uzamifu huko Chuo kikuu cha kikatoliki cha Louvain, mtafiti katika Juwa Research Group, na msaidizi wa kufundisha na utafiti katika Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu).
JOSAPHAT MUSAMBA
Mtafiti anayesoma shahada ya uzamifu huko Chuo Kikuu cha Ghent, na mtafiti wa Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu).
JUDITH BUHENDWA NSHOBOLE
Msaidizi wa utafiti huko Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu), na mtafiiti katika Land Rush Project na Taasisi ya Angaza
KOEN VLASSENROOT
Profesa wa sayansi ya siasa na mkurugenzi wa Kikundi cha Utafiti wa Migogoro huko Chuo Kikuu cha Ghent.
PIERRE BASIMISE NGALISHI KANYEGERE
Mtafiti katika Land Rush Project na fundi wa IT katika Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu).
PRÉCIEUX THAMANI MWAKA
Mtafiti katika Land Rush Project huko Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu).
STANISLAS BISIMWA BAGANDA
Mtafiti huko Groupe d’études sur les Conflits et la sécurité humaine (GEC-SH – au, Kikundi cha Masomo ya Migogoro na Usalama wa Binadamu). Pia ni mshauri wa usimamizi wa miradi.
VEDASTE CITULI ALINIRHU
Mtafiti katika Institut supérieur de développement rural de Bukavu (ISDR-Bukavu, au, Taasisi ya Maendeleo Vijijini huko Bukavu) na katika Juwa Researcher Group.
Copyright © 2022 by bukavuseries.com and Tembo Kash. All rights reserved. This website, images, content or any portion thereof may not be reproduced or used in any manner whatsoever without the express written permission of the publisher. For more information contact: intdev.crp@lse.ac.uk