Mijadala ya Bukavu:
kuelekea kuondoa ukoloni wa utafiti wa kitaaluma

Kimehaririwa na Aymar Nyenyezi, An Ansoms, Koen Vlassenroot, Emery Mudinga na Godefroid Muzalia.
Na michoro ya Tembo Kash.

Mijadala ya Bukavu ni mkusanyiko wa nakala za blogi zilizoandikwa na watafiti wanaotoka nchi za Kusini, pamoja na michango ya watafiti wenzao wanaotoka nchi za Kaskazini. Kitabu hiki kinatuonyesha hali halisi ya mazingira ya kazi ya utafiti kwa kutumia ucheshi na ukweli unaodhiihirisha ukosekanaji wa usawa kati ya wahusika. Kinalenga kupanua mjadala mpana juu ya njia za kurekebisha uzalishaji wa maarifa katika taaluma.

KUNUNUA KITABU

Copyright © 2022 by bukavuseries.com and Tembo Kash. All rights reserved. This website, images, content or any portion thereof may not be reproduced or used in any manner whatsoever without the express written permission of the publisher. For more information contact: intdev.crp@lse.ac.uk

Terms of Use